Baadhi ya wachezaji wa Simba usiku wa leo wataondoka jijini Dar es salaam kuelekea Arusha wanakokabiliwa na mfululizo wa mechi za ligi kuu ya kombe la CRDB.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ali amesema msafara wa kwanza utaondoka saa 8 usiku na msafara wa pili kuondoka kesho saa 12 asubuhi.
Simba inakabiliwa na mechi tatu jijini Arusha ambao zote zitapigwa uwanja wa..... download Xtra 90 App



