Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027 yanatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 19 Juni hadi 18 Julai 2027, kwa mujibu wa taarifa rasmi zilizotolewa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF).
Mashindano hayo yatakuwa ya kihistoria, yakifanyika kwa mara ya kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki, yakishirikisha nchi tatu kwa pamoja ambazo ni Tanzania, Kenya na Uganda. Hatua..... download Xtra 90 App



