Hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) inaingia katika sura mpya leo, huku timu nne vigogo barani humo zikianza mapambano makali ya kusaka tiketi ya kucheza fainali ya michuano hiyo mikubwa zaidi ya klabu duniani.
Katika michezo ya leo, mabingwa watetezi Paris Saint-Germain (PSG) watakuwa na kibarua kizito dhidi ya Liverpool, wakati miamba ya Hispania,..... download Xtra 90 App



