Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeutaarifu umma kuwa mchezo namba saba (7) wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 (TRA United FC vs Simba SC), utafanyika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Aprili 9, 2026 kuanzia saa 10:00 alasiri.
Aidha, Bodi imetoa taarifa kuwa mashabiki wote ambao walinunua tiketi kwa ajili ya mchezo huo ambao uliahirishwa Machi 14, 2026 baada ya mvua..... download Xtra 90 App



