Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya NBC, Yanga, wameendelea kuonesha ubora wao baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Pamba Jiji katika mchezo uliopigwa Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza.
Katika mchezo huo, Yanga walidhibiti kwa kiasi kikubwa umiliki wa mpira na kutengeneza nafasi nyingi za kufunga. Kiungo Mudathir Yahya alikuwa nyota wa mchezo baada ya kufunga mabao mawili..... download Xtra 90 App



