Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo ambapo mechi mbili zinapigwa mkoani Arusha na Manyara.
Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha kutakuwa na mchezo wa kukata na shoka wenyeji TRA United wakiikaribisha Simba.
Ni mchezo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka mkoani humo hasa ikizingatiwa mchezo huo awali ulipaswa kupigwa March 14 lakini uliahirishwa baada ya mvua kubwa kunyesha na..... download Xtra 90 App



