Shirikisho la Kandanda la Angola (FAF), limekamilisha mazungumzo na kocha Aliou Cissé kutoka Senegal wakimteua kuwa kocha mpya wa timu yao ya taifa, Palancas Negras.
Cissé, ambaye aliongoza timu ya taifa ya Senegal kufikia mafanikio makubwa ikiwemo kufika fainali ya Kombe la Afrika (AFCON) 2021, tayari amekubali kuinoa Angola.
Taarifa kutoka kwa vyanzo vya karibu na shirikisho la..... download Xtra 90 App



