Ligi Kuu ya NBC iliendelea leo ambapo mechi zilipigwa mkoani Arusha na kule Manyara.
Mchezo uliokuwa ukifuatiliwa kwa karibu na mashabiki wa soka nchini ni kati ya TRA United dhidi ya Simba uliopigwa uwanja wa Shelkh Amri Abeid.
Dakika 90 za mchezo huo zimemalizika kwa matokeo ya suluhu ya bila kufungana huku TRA United wakijilaumu kwa kushindwa kuondoka na alama zote..... download Xtra 90 App



