Dirisha la usajili la majira ya joto linaendelea kusogea barani Ulaya, huku vilabu vikubwa vikijiandaa kufanya maboresho makubwa ya vikosi vyao. Leo, macho yote yako kwa nyota wanaovutia vita ya usajili kutoka klabu mbalimbali za mataifa makubwa.
Morgan Rogers Aingia Kwenye Vita Kubwa ya Usajili
Morgan Rogers wa Aston Villa anatarajiwa kuwa kitovu cha vita kubwa..... download Xtra 90 App



