Klabu ya Arsenal imeendelea kuporomoka kwenye mbio za ubingwa wa Premier League baada ya kupokea kichapo cha bao 2-1 kutoka kwa AFC Bournemouth katika mchezo uliochezwa leo Jumamosi, Aprili 11, 2026.
Katika mchezo huo uliopigwa dimbani Emirates, Bournemouth waliandika historia kwa ushindi muhimu uliotikisa mbio za ubingwa. Wageni hao walitangulia kufunga kupitia chipukizi Eli Junior..... download Xtra 90 App



