Klabu ya Simba SC imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la CRDB baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa hatua ya 16 bora uliochezwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Dodoma Jiji walikuwa wa kwanza kupata bao mapema dakika ya 9 kupitia kwa..... download Xtra 90 App



