Tasnia ya soka nchini Ghana imekumbwa na msiba mzito kufuatia kifo cha mchezaji chipukizi Dominic Frimpong, aliyefariki dunia baada ya kushambuliwa kwa risasi katika tukio la ujambazi lililolenga basi la timu yake.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari vya kimataifa, tukio hilo lilitokea Jumapili, Aprili 12, 2026, wakati timu ya Berekum Chelsea ikirejea kutoka mchezo wa..... download Xtra 90 App



