Klabu ya Al Ahly SC imewasilisha ombi rasmi kwa mamlaka za soka nchini Misri ikitaka pambano lao dhidi ya Pyramids FC kuchezeswa na marefa wa kigeni.
Mchezo huo wa Egyptian Premier League unatarajiwa kuchezwa Aprili 27, 2026, ukiwa ni moja ya mechi zenye uzito mkubwa katika hatua ya mwisho ya ligi na mbio za ubingwa.
Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali vya michezo zinaeleza kuwa..... download Xtra 90 App



