Mikiki mikiki ya Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo huku mashabiki wa soka nchini wakishuhudia michezo miwili muhimu itakayopigwa katika viwanja tofauti. Macho mengi yataelekezwa mkoani Arusha, wakati mchezo mwingine ukipigwa jijini Tanga.
Katika dimba la Sheikh Amri Abeid, Fountain Gate FC watakuwa wenyeji wa Simba SC kwenye mchezo wa kiporo wa mzunguko wa 17. Huu ni mchezo unaobeba uzito..... download Xtra 90 App



