Kocha Yanga apania alama tatu dhidi ya Mbeya City

Joel JJ By Joel JJ • 15th April 2026

Kocha Yanga apania alama tatu dhidi ya Mbeya City

Kocha Mkuu wa Young Africans SC, Pedro Goncalves amesema kikosi chake kiko tayari kikamilifu kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Mbeya City FC, huku akisisitiza kuwa lengo lao kuu ni kupata alama zote tatu.

Akizungumza kuelekea mchezo huo utakaopigwa Alhamisi, Aprili 16 katika uwanja wa KMC Complex, Goncalves alikiri kuwa hautakuwa mchezo rahisi, lakini ana imani kubwa na..... download Xtra 90 App

More Stories

Hizi 6 za Yanga na Simba ni vipi?
Hizi 6 za Yanga na Simba ni vipi?
Today, READ MORE →
Nahodha SC Villa auawa na majambazi Uganda
Nahodha SC Villa auawa na majambazi Uganda
Today, READ MORE →
Azam FC yazindua jezi ya nyumbani ya msimu wa 2026/27
Azam FC yazindua jezi ya nyumbani ya msimu wa 2026/27
Today, READ MORE →
Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Today, READ MORE →
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
Today, READ MORE →
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Today, READ MORE →
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Today, READ MORE →
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Today, READ MORE →
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Today, READ MORE →
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Yesterday, READ MORE →