Nyota chipukizi wa FC Barcelona, Lamine Yamal, ametuma ujumbe mzito na wa kihisia kwa mashabiki wa klabu hiyo kufuatia kuondolewa kwenye UEFA Champions League.
Katika ujumbe wake, Yamal alieleza maumivu makubwa aliyoyapata baada ya ndoto ya kutwaa taji hilo kufifia:
“Kwa kweli sina maneno ya kuelezea ninavyohisi kwa sasa. Nimekaa gizani, bado siamini kwamba imeisha...... download Xtra 90 App



