Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, amechukua uamuzi wa kuwapa wachezaji wake siku mbili kamili za mapumziko kabla ya mechi muhimu ya ligi dhidi ya Arsenal mwishoni mwa wiki.
Kwa mujibu wa ratiba ya mazoezi ya timu hiyo, baada ya mazoezi mepesi ya siku ya Jumatatu, wachezaji walipumzika kabisa Jumanne na Jumatano kabla ya kurejea kujiandaa kwa pambano hilo linalotarajiwa kuwa na..... download Xtra 90 App



