Klabu ya Simba SC imeendelea kuonyesha ubora wake katika Ligi Kuu NBC baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Fountain Gate FC, katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Jumatano, Aprili 15, 2026.
Katika mchezo huo ambao Wekundu wa Msimbazi waliutawala kwa kiasi kikubwa, walifanikiwa kuvunja ukuta wa Fountain Gate dakika za nyongeza za kipindi cha kwanza..... download Xtra 90 App



