Baada ya kukamilika kwa mechi za viporo za Ligi Kuu NBC, sasa pazia la mzunguko wa 18 limefungwa rasmi huku baadhi ya timu zikianza tayari harakati za mzunguko wa 19.
Matokeo ya leo yameshuhudia Simba SC ikiibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Fountain Gate FC, ushindi ambao umeifanya iendelee kusalia katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi. Hata hivyo, ushindi huo haujatosha..... download Xtra 90 App



