Klabu ya Bayern Munich imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya UEFA Champions League baada ya kuibuka na ushindi wa kusisimua wa mabao 4-3 dhidi ya Real Madrid, na kufuzu kwa jumla ya mabao 6-4.
Mchezo huo uliochezwa katika dimba la Allianz Arena ulikuwa na kila kitu, mabao ya mapema, mabadiliko ya matokeo na tamati ya kushtua, ambapo Real Madrid walianza kwa kasi kupitia Arda Güler..... download Xtra 90 App



