Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo mzunguuko wa 19 ambapo mechi mbili zitapigwa mikoa ya Arusha na Dar es salaam.
TRA United ikiongozwa na winga aliyeteka vyombo vya habari hivi karibuni Ramadhan Chobwedo, itakuwa mwenyeji wa Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid.
Ni vita ya kuwania nafasi ya sita, kama TRA United watashinda mchezo huo wataiondoa Pamba Jiji..... download Xtra 90 App



