Gwiji wa soka duniani, Lionel Messi, amefungua ukurasa mpya katika maisha yake nje ya uwanja baada ya kuthibitishwa kuwa mmiliki mpya wa klabu ya Hispania, UE Cornellà.
Taarifa kutoka Hispania zinaeleza kuwa Messi amenunua asilimia 100 ya hisa za klabu hiyo inayoshiriki ligi ya daraja la tano nchini Hispania .
Klabu hiyo yenye makazi yake Catalonia, karibu na jiji la Barcelona,..... download Xtra 90 App



