Klabu ya Simba SC imeanza mchakato wa kumbakisha mshambuliaji wake Suleiman Mwalimu ambaye mkataba wake wa mkopo unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu.
Kwa mujibu wa makubaliano ya awali, Mwalimu atarejea katika klabu yake mama ya Wydad AC mwezi Juni mara baada ya mkataba wake wa mkopo kumalizika.
Hata hivyo, uongozi wa Simba umeanza mapema harakati za kuhakikisha..... download Xtra 90 App



