Klabu ya Atletico Madrid imekosa nafasi ya kutwaa ubingwa wa Copa del Rey 2026 kufuatia kupoteza kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Real Sociedad katika fainali iliyochezwa Aprili 18, 2026 jijini Sevilla.
Mchezo huo ulikuwa wa kusisimua kuanzia mwanzo hadi mwisho, ukimalizika kwa sare ya mabao 2-2 ndani ya dakika 120 kabla ya kuamuliwa kwa penalti. Real Sociedad waliibuka washindi kwa..... download Xtra 90 App



