Klabu ya Simba SC imeendelea kuonesha ubora wake katika NBC Premier League baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Namungo FC kwenye dimba la Majaliwa, Ruangwa.
Ilikuwa ni mechi iliyotawaliwa kwa kiasi kikubwa na Wekundu wa Msimbazi, wakionesha dhamira ya wazi ya kusaka alama tatu muhimu. Simba ilianza kwa kasi ambapo dakika ya 12, mshambuliaji



