Kocha maarufu duniani, José Mourinho, amejikuta tena akihusishwa na tetesi za kurejea katika klabu ya Real Madrid, timu aliyowahi kuinoa kati ya mwaka 2010 hadi 2013 na kuacha historia kubwa ya ushindani nchini Hispania.
Kwa mujibu wa taarifa mbalimbali za vyombo vya habari vya Ulaya, uongozi wa Real Madrid unaendelea kumfikiria Mourinho kama mmoja wa..... download Xtra 90 App



