Kocha Mkuu wa Azam Fc Florent Ibenge amekiri kuwa mchezo wa robo fainali kombe la Muungano dhidi ya KVZ anatarajia utakuwa mgumu hata hivyo lengo lake ni kuona wanashinda mchezo huo na kutinga nusu fainali ya michuano hiyo.
Ibenge amesema KVZ ni moja ya timu bora visiwani Zanzibar ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi hivyo anatarajiwa hawatakuwa na kazi nyepesi dhidi yao hapo..... download Xtra 90 App



