Kocha wa zamani wa klabu ya CR Belouizdad, Sead Ramovic, ameripotiwa kuwasilisha malalamiko katika shirikisho la soka duniani FIFA, kufuatia mgogoro wa kimkataba kati yake na klabu hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa nchini Algeria, Ramovic amechukua hatua hiyo baada ya kutokea mvutano unaohusiana na masuala ya utekelezaji wa mkataba wake, ikiwemo madai ya kucheleweshwa au kutotekelezwa kwa..... download Xtra 90 App



