Mabingwa watetezi, Yanga, wameonyesha ubabe wao kwa kutinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Muungano baada ya ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Muembe Makumbi. Mchezo huo ulipigwa katika dimba la New Amaan Complex visiwani Zanzibar.
Kuanzia dakika za mwanzo, Yanga walionekana kuwa na dhamira..... download Xtra 90 App



