Mayanga apewa fupa la Mbeya City

Joel JJ By Joel JJ • 22nd April 2026

Mayanga apewa fupa la Mbeya City

Klabu ya Mbeya City imemteua Salum Mayanga kuwa kocha mkuu mpya kufuatia kuondoka kwa Mecky Maxime na benchi lake la ufundi. Uamuzi huu unakuja katika kipindi kigumu kwa timu hiyo, ambayo inapambana kujinasua kwenye hatari ya kushuka daraja.

Mayanga si mgeni ndani ya kikosi hicho cha “Wagonga Nyundo”. Aliwahi kuinoa timu hiyo zamani wakati ikishiriki Ligi ya Championship (daraja la..... download Xtra 90 App

More Stories

Hizi 6 za Yanga na Simba ni vipi?
Hizi 6 za Yanga na Simba ni vipi?
Today, READ MORE →
Nahodha SC Villa auawa na majambazi Uganda
Nahodha SC Villa auawa na majambazi Uganda
Today, READ MORE →
Azam FC yazindua jezi ya nyumbani ya msimu wa 2026/27
Azam FC yazindua jezi ya nyumbani ya msimu wa 2026/27
Today, READ MORE →
Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Today, READ MORE →
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
Today, READ MORE →
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Today, READ MORE →
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Today, READ MORE →
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Today, READ MORE →
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Today, READ MORE →
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Yesterday, READ MORE →