Wachezaji Real Madrid waomba radhi mashabiki baada ya ushindi mdogo dhidi ya Alaves

Joel JJ By Joel JJ • 22nd April 2026

Wachezaji Real Madrid waomba radhi mashabiki baada ya ushindi mdogo dhidi ya Alaves

Baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Deportivo Alavés, wachezaji wa Real Madrid walijikuta wakitumia muda wao zaidi kuomba radhi kwa mashabiki kuliko kusherehekea matokeo hayo, katika mechi ya LaLiga iliyopigwa Aprili 21, 2026 kwenye dimba la Santiago Bernabéu.

Ushindi huo ulipatikana kupitia mabao ya Kylian Mbappé na Vinícius Júnior, lakini haukuondoa kabisa hisia za mashabiki..... download Xtra 90 App

More Stories

Hizi 6 za Yanga na Simba ni vipi?
Hizi 6 za Yanga na Simba ni vipi?
Today, READ MORE →
Nahodha SC Villa auawa na majambazi Uganda
Nahodha SC Villa auawa na majambazi Uganda
Today, READ MORE →
Azam FC yazindua jezi ya nyumbani ya msimu wa 2026/27
Azam FC yazindua jezi ya nyumbani ya msimu wa 2026/27
Today, READ MORE →
Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Today, READ MORE →
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
Today, READ MORE →
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Today, READ MORE →
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Today, READ MORE →
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Today, READ MORE →
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Today, READ MORE →
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Yesterday, READ MORE →