Mashabiki wa soka wanatarajia burudani ya hali ya juu baada ya Yanga SC na Azam FC kufuzu hatua ya nusu fainali ya Kombe la Muungano. Mchezo huo mkubwa utapigwa Jumamosi, April 25 katika dimba la New Amaan Complex, Zanzibar.
Azam FC ilitinga nusu fainali Jumatano usiku baada ya kuichapa KVZ mabao 2-0 katika mchezo wa pili wa robo fainali, ikionyesha uimara mkubwa hasa katika safu ya..... download Xtra 90 App



