Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza rasmi kuanza kwa mchakato wa kupokea maoni ya maboresho ya Kanuni za Ligi kwa toleo la mwaka 2026, hatua inayolenga kuboresha uendeshaji wa mashindano ya mpira wa miguu nchini.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, maoni na mapendekezo yanayokusanywa yatahusisha Kanuni za Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Championship pamoja na First League. Mchakato huu..... download Xtra 90 App



