Kocha Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves, amesema kikosi chake kiko tayari kwa mtanange mgumu wa nusu fainali ya Kombe la Muungano dhidi ya Azam FC utakaopigwa Jumamosi katika Uwanja wa New Amaan Complex.
Akizungumza na waandishi wa habari visiwani Zanzibar, Goncalves alisema licha ya muda mfupi wa maandalizi, kikosi chake kimejiandaa vyema kwa ajili ya mchezo huo muhimu, akisisitiza kuwa..... download Xtra 90 App



