Ni kama kiungo mshambuliaji wa Simba SC Mohamed Bajaber, amepewa nafasi ya kujitetea ili kurejea rasmi kikosini baada ya kukumbwa na mfululizo wa majeraha yaliyomuweka nje kwa muda mrefu.
Bajaber alirejea uwanjani jana baada ya kukosekana kwa muda mrefu, alipokuwa sehemu ya kikosi cha Simba kilichocheza robo fainali ya Kombe la Muungano dhidi ya Mafunzo FC. Katika mchezo huo, Simba..... download Xtra 90 App



