Kiungo fundi wa kimataifa wa Zambia ambaye amewahi kutamba na klabu ya Simba, Larry Bwalya, yuko hatua za mwisho kujiunga na Pamba Jiji baada ya pande zote mbili kufikia makubaliano ya kisheria kuhusu usajili wake.
Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa, mchakato wa awali wa usajili huo ulikwama kutokana na mkataba wake na klabu ya Napsa Stars ya nchini Zambia. Hata hivyo, sasa..... download Xtra 90 App



