Klabu ya Real Madrid imeendelea kupoteza mwelekeo katika mbio za ubingwa wa La Liga baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 dhidi ya Real Betis, katika mchezo uliochezwa Ijumaa usiku.
Katika mchezo huo uliopigwa jijini Sevilla, Madrid walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia nyota wao Vinícius Júnior aliyefunga mapema dakika ya 17, akimalizia vizuri shambulizi lililoanzishwa na Federico..... download Xtra 90 App



