Kikosi cha Simba SC kimepania kufuzu hatua ya fainali ya Kombe la Muungano baada ya kocha mkuu Steve Barker kueleza wazi kuwa lengo lao ni kupata ushindi dhidi ya Mlandege FC katika mchezo wa nusu fainali utakaopigwa kesho Jumapili kwenye Uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar.
Simba inatarajiwa kushuka dimbani huku ikiingia kwenye mchezo huo ikijua wazi haitakuwa kazi rahisi..... download Xtra 90 App



