Mvutano wa maneno kati ya vigogo wa soka la Tanzania, Yanga na Simba SC, unazidi kupamba moto kuelekea fainali ya Kombe la Muungano itakayopigwa Jumatano, Aprili 29 katika Uwanja wa New Amaan Complex.
Juzi Yanga ilikuwa ya kwanza kutinga fainali kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC, kabla ya Simba kuungana nao kufuatia ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Mlandege FC katika nusu..... download Xtra 90 App



