Kiungo mkongwe wa AC Milan na nahodha wa timu ya taifa ya Croatia, Luka Modric (40), anatarajiwa kukosa mechi zote zilizosalia za msimu wa Serie A baada ya kupata jeraha la shavu katika mchezo dhidi ya Juventus uliochezwa Jumapili ya jana.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo, Modric alipata jeraha hilo baada ya kugongana vichwa na kiungo wa Juventus, Manuel Locatelli, katika..... download Xtra 90 App



