Brazil yapata pigo, Militao kukosa kombe la Dunia

Joel JJ By Joel JJ • 28th April 2026

Brazil yapata pigo, Militao kukosa kombe la Dunia

Timu ya taifa ya Brazil imepata pigo kubwa baada ya beki wake tegemeo, Éder Militão, kuthibitishwa kuwa huenda akakosa Kombe la Dunia 2026 kufuatia jeraha la nyonga (hamstring) lililomlazimu kufanyiwa upasuaji.

Kwa mujibu wa taarifa, Militão aliumia wakati wa mechi ya Real Madrid dhidi ya Alavés mwezi Aprili 2026, baada ya kushika nyonga ya mguu wake wa kushoto na kutolewa uwanjani..... download Xtra 90 App

More Stories

Hizi 6 za Yanga na Simba ni vipi?
Hizi 6 za Yanga na Simba ni vipi?
Today, READ MORE →
Nahodha SC Villa auawa na majambazi Uganda
Nahodha SC Villa auawa na majambazi Uganda
Today, READ MORE →
Azam FC yazindua jezi ya nyumbani ya msimu wa 2026/27
Azam FC yazindua jezi ya nyumbani ya msimu wa 2026/27
Today, READ MORE →
Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Today, READ MORE →
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
Today, READ MORE →
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Today, READ MORE →
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Today, READ MORE →
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Today, READ MORE →
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Today, READ MORE →
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Yesterday, READ MORE →