Kocha mkuu wa Yanga, Rui Pedro Gonçalves, ameweka wazi kuwa kikosi chake kiko tayari kikamilifu kwa fainali ya Kombe la Muungano dhidi ya Simba SC, huku akisisitiza kuwa mchezo huo hautakuwa wa ushindani pekee bali pia burudani kwa mashabiki.
Mchezo huo mkubwa unatarajiwa kupigwa kesho Jumatano, Aprili 29 katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, ukiwakutanisha wapinzani wakubwa wa..... download Xtra 90 App



