Kocha wa klabu ya FC Barcelona Hansi Flick, amekubali kuongeza mkataba wake wa kuendelea kuinoa timu hiyo hadi mwaka 2028, kwa mujibu wa Fabrizio Romano.
Taarifa hizo zinaeleza kuwa mazungumzo kati ya uongozi wa Barcelona na wakala wa Flick yamefikia hatua ya makubaliano ya awali, ambapo pande zote mbili zimeonyesha kuridhishwa na mwelekeo wa mradi wa klabu hiyo chini ya kocha huyo..... download Xtra 90 App



