Wakati watani zao Simba wakirejea jijini Dar es salaam jana baada ya kutwaa kombe la Muungano, kikosi cha Yanga kilisalia visiwani Zanzibar kujiandaa na mchezo wa ligi kuu utakaowakutanisha na Simba kwa mara ya pili katika kipindi cha siku tano.
Jumapili May 03 timu hizo zitachuana tena katika mchezo wa ligi kuu ambao matokeo yake huenda yakawa na maamuzi kwenye mbio za ubingwa msimu..... download Xtra 90 App



