Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeweka wazi maandalizi ya mwisho kuelekea dabi kubwa ya Kariakoo kwa kuthibitisha rasmi waamuzi watakaochezesha pambano kati ya Simba SC na Yanga.
Kwa mujibu wa TFF, mwamuzi wa kati wa mchezo huo atakuwa Hamza El Faruq kutoka Morocco. Atasaidiwa na waamuzi wasaidizi Hamza En Nassri na Lahsen Agaou, huku mwamuzi wa akiba akiwa



