Kariakoo Derby kusimamisha jiji la Dar es salaam leo

Joel JJ By Joel JJ • 3rd May 2026

Kariakoo Derby kusimamisha jiji la Dar es salaam leo

Leo jijini Dar es Salaam, macho na masikio ya mashabiki wa soka yanaelekezwa kwenye dimba la Meja Jenerali Isamuhyo, Mbweni, ambapo patapigwa mtanange mkubwa wa Ligi Kuu ya NBC kati ya watani wa jadi, Simba SC dhidi ya Yanga SC.

Ni mchezo unaokuja ukiwa na uzito mkubwa kwenye mbio za ubingwa msimu huu, huku kila upande ukiingia uwanjani ukiwa na hesabu zake.

More Stories

Hizi 6 za Yanga na Simba ni vipi?
Hizi 6 za Yanga na Simba ni vipi?
Today, READ MORE →
Nahodha SC Villa auawa na majambazi Uganda
Nahodha SC Villa auawa na majambazi Uganda
Today, READ MORE →
Azam FC yazindua jezi ya nyumbani ya msimu wa 2026/27
Azam FC yazindua jezi ya nyumbani ya msimu wa 2026/27
Today, READ MORE →
Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Infantino aitisha mkutano wa dharura FIFA kufuatia matamshi ya Wenger
Today, READ MORE →
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
BREAKING: Guimaraes atua Arsenal rasmi.
Today, READ MORE →
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Today, READ MORE →
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Today, READ MORE →
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Today, READ MORE →
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Today, READ MORE →
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Yesterday, READ MORE →