Kocha Mkuu wa Simba SC Steve Barker, amesema matumaini ya ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara yameanza kuyumba baada ya timu yake kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Yanga katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo.
Simba ilianza mchezo kwa kasi na kufanikiwa kupata mabao mawili ya mapema kupitia kwa Libasse Gueye na Clatous Chama, lakini kupoteza umakini na kupungua kwa..... download Xtra 90 App



