Kocha Mkuu wa Namungo FC, Juma Mgunda, amekiri wazi kuwa timu yake inapitia kipindi kigumu katika Ligi Kuu NBC baada ya kushindwa kupata ushindi katika mechi 10 mfululizo.
Akizungumza kuhusu mwenendo huo, Mgunda amesema changamoto kubwa imekuwa ni ukame wa mabao kwa washambuliaji wake, huku akisisitiza kuwa safu ya ulinzi inapaswa kuwa imara zaidi hasa pale timu inaposhindwa kutumia..... download Xtra 90 App



