Ligi Kuu Tanzania Bara iliendelea leo Jumanne, Mei 5, 2026 mechi za raundi ya 21 zikianza kupigwa.
Katika mchezo uliochezwa uwanja wa Airtel, Singida Black Stars waliibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Pamba Jiji.
Nyota wa mchezo huo alikuwa Ndumumwe Mosi aliyefunga mabao mawili na kuiongoza timu yake kupata ushindi muhimu. Bao la tatu la Singida lilifungwa na Horso Malonga,..... download Xtra 90 App



