Azam Fc imeendeleza wimbi la ushindi uwanja wa Azam Complex leo ikiichapa Namungo Fc bao 1-0 katika mchezo uliokuwa na upinzani mkali.
Alikuwa ni Feisal Salum 'Fei Toto' aliyefunga bao pekee la Azam Fc kupitia mkwaju wa penati kwenye dakika ya 42 baada ya Japhet Kitambala kufanyiw madhambi ndani ya eneo la hatari.
Namungo Fc walikuwa na nafasi ya kurejea mchezoni lakini walipoteza..... download Xtra 90 App



